Maazimio ya Kazi Shule za Msingi 2026 – Mtaala Mpya (PDF Download)
Maana ya Maazimio ya Kazi
Maazimio ya kazi (kwa Kiingereza: Scheme of Work) ni mpango wa kazi unaoandaliwa na mwalimu kwa ajili ya kufundishia somo fulani katika kipindi maalumu cha muda. Ni ramani ya ufundishaji inayoonesha jinsi kila mada itakavyofundishwa kulingana na mtaala mpya wa elimu ya msingi.
Namba za malipo
| Airtel Money | |
|---|---|
| M-Pesa | |
| Tigo Pesa | |
| Halo Pesa | |
| Jina: WAZIRI NTATIE | |
Utapokea maazimio uliyolipia kupitia WhatsApp baada ya kuthibitisha malipo yako.
maazimio ya kazi 2026 pdf
maazimio ya kazi awali 2026 Maazimio ya kazi darasa la kwanza 2026 Maazimio ya kazi darasa la pili 2026 Maazimio ya kazi darasa la tatu 2026 Maazimio ya kazi darasa la nne 2026 Maazimio ya kazi darasa la tano 2026 Maazimio ya kazi darasa la sita 2026 Maazimio ya kazi darasa la saba 2026Mfano wa Maazimio ya Kazi Shule za Msingi (PDF)
Unahitaji mfano wa maazimio ya kazi shule za msingi kwa mwaka 2026? Download Mfano wa azimio la kazi PDF Hapa.
Maazimio ya Kazi – Mtaala Mpya wa Elimu ya Msingi 2026
Maazimio haya yameandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa elimu ya msingi wa mwaka 2026. Download azimio la kazi PDF.
Jinsi ya Kuandaa Maazimio ya Kazi
- Weka malengo ya ufundishaji kwa kila wiki au mwezi.
- Tambua rasilimali na vifaa vya kutumia darasani.
- Andika mpangilio wa mada kwa ufuatiliaji rahisi.
- Bainisha muda, njia za tathmini, na matokeo yanayotarajiwa.
Umuhimu wa Maazimio ya Kazi
- Humsaidia mwalimu kufundisha kwa mpangilio sahihi.
- Hufanya ufuatiliaji wa mada kufanyika kwa urahisi.
- Huonyesha muda wa kufundisha na kumaliza kila somo.
- Huandaa mwalimu kwa zana na mbinu bora za ufundishaji.