azimio la kazi 2025 | maazimio ya kazi 2025
azimio la kazi 2025 pdf | azimio la kazi 2025 mtaala mpya download | mfano wa azimio la kazi | maaazimio ya kazi 2025
Maazimio ya Kazi Shule ya Msingi Darasa la Kwanza hadi La Saba Muundo Mpya kwa kufuata muhula mpya 2025.
- Azimio la kazi Maarifa ya Jamii Shule ya Msingi.
- Azimio la Kazi Hisabati Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi English Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi Kiswahili Shule ya Msingi.
- Azimio la Kazi ya Sayansi Shule ya Msingi.
- Azimio la Kazi Uraia na Maadili Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi Stadi za Kazi Shule ya Msingi.
- Azimio la kazi Jiografia Na Mazingira
- Azimio la kazi Historia Ya Tanzania Na Maadili
- Azimio la kazi Sanaa Na Michezo
- Azimio la kazi English darasa la Kwanza na la Pili
- Azimio la kazi English
Nini maana ya azimio la kazi.?
Azimio la kazi 2025 (scheme of work) ni mpango kazi (mwongozo) unaoandaliwa na mwalimu ambao unaonesha mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali kwa kipindi maalumu katika muhtasari wa somo husika. Huo ni mpango wa ufundishaji kwa kipindi fulani ambao kila mwalimu anauandaa ili kukidhi lengo la ufundishaji.
Mwalimu anaweza kuandaa azimio la kazi katika kipindi cha wiki, mwezi, nusu muhula au muhula mzima. Kitendo hiki cha uandaaji, kinaweza kumsaidia mwalimu kulipanga darasa lake vizuri na hata kujua vifaa atakavyovitumia wakati wa ufundishaji wake.
Umuhimu wa Azimio la kazi 2025
- Kumsaidia mwalimu kwenda na mpangilio mzuri wa mada.
- Humsaidia mwalimu wapi alipofikia na kumfanya mwalimu anayempokea somo lake kujua wapi alipoishia.
- Kujua muda wa kumaliza mada yake/zake.
- Kumwezesha mwalimu kujua zana atakazozitumia katika ufundishaji wake.
Vipengele muhimu vilivyomo katika Azimio la kazi 2025
i) Muhula: Sehemu hii huandikwa namba ya muhula ambapo Azimio la kazi litatumika.
ii) Mwezi: Sehemu hii huandikwa jina la mwezi ambao mada fulani zitafundishwa.
iii) Ujuzi: Haya ni maarifa,stadi ambayo mwanafunzi hupata baada ya kufundishwa.
iv) Wiki: Sehemu hii huandikwa idadi ya wiki katika mwezi ambapo somo hilo litafundishwa.
v) Idadi ya vipindi: Hapa huandikwa idadi ya vipindi katika juma au majuma yaliyooneshwa.
vi) Mada kuu: Sehemu hii huandikwa mada kuu itakayofundishwa katika kipindi hicho.
vii) Mada ndogo: Sehemu hii huandikwa mada ndogo itakayofundishwa.
viii) Vitendo vya ufundishaji: Sehemu hii hujazwa na mwalimu kounesha harakati zake za kuwapa somo husika wanafunzi.
ix) Vitendo vya ujifunzaji: sehemu hii huandikwa harakati za wanafunzi wakati wa kupokea somo.
x) Vifaa/zana: Katika sehemu hii, mwalimu huandika vifaa au zana atakazozitumia wakati wa ufundishaji wake.
xi) Rejea: Sehemu hii mwalimu ataandika vitabu alivyovitumia katika ufundishaji wake.
xii) Maoni: Katika sehemu hii mwalimu atatoa maoni yake kuhusu mafanikio, changamoto alizozipata katika ufundishaji wake na njia atakazozitumia katika kuboresha zaidi ufundishaji wake.
Maazimio ya kazi ya awali 2025
Maazmio ya kazi darasa la kwanza 2025
Maazimio ya kazi darasa la pili 2025
Maazimio ya kazi darasa la tatu 2025
Maazimio ya kazi darasa la nne 2025
Maazimio ya kazi darasa la tano 2025
Maazimio ya kazi darasa la sita 2025
Maazimio ya kazi darasa la saba 2025
Contact Us
Wasiliana nasi!
FAQs
- FAQ 1: Answer to frequently asked question 1.
- FAQ 2: Answer to frequently asked question 2.
- FAQ 3: Answer to frequently asked question 3.
viungo muhimu
- nukuu za somo
- uchambuzi wa fasihi
- past papers
- main blog